Shirika la Habari la Hawza - Dua za kila siku za Mwezi wa Ramadhani; siku ya kumi na moja:
اللّهُمَّ حَبِّبْ إِلَی فِیهِ الْإِحْسانَ، وَکرِّهْ إِلَی فِیهِ الْفُسُوقَ وَالْعِصْیانَ، وَحَرِّمْ عَلَی فِیهِ السَّخَطَ وَالنِّیرانَ، بِعَوْنِک یا غِیاثَ الْمُسْتَغِیثِینَ.
Ee Mwenyezi Mungu! Nijaalie nipende sana kutenda mema katika mwezi huu, na Unichukizishe katika mwezi huu kutenda maovu na uasi. Unikingie katika mwezi huu hasira zako na moto kutokana na msaada wako Ewe Mnusuru wa wanaotaka kunusuriwa.
Your Comment